Nafasi ya Kazi – Irrigation Team Lead | Kilombero Sugar
- July 22, 2025
- 0 Comments


Je una uzoefu wa usimamizi wa kazi za umwagiliaji kwenye mashamba ya miwa? Hii ni nafasi yako!
Kilombero Sugar wanatafuta Irrigation Team Lead mwenye cheti cha kilimo na uzoefu wa kusimamia shughuli za umwagiliaji na timu.
Mahali: Morogoro
Aina ya kazi: Muda wote (Permanent)
Mwisho wa kutuma Maombi: 3 August 2025
Sifa za Muhimu
Cheti cha Kilimo Uzoefu wa miaka 2–3 kwenye kilimo cha Miwa
Uzoefu wa kusimamia watu na ratiba za kazi
Uwezo wa kuandaa taarifa na kuwasiliana vizuri
Majukumu Makuu
Kusimamia shughuli za umwagiliaji kwa ubora
Kuandaa ratiba za umwagiliaji na kuripoti changamoto
Kuhakikisha vifaa vya umwagiliaji vipo sawa na vinafanya kazi vizuri
Kufundisha wafanyakazi na kusimamia utendaji wa timu
Kulinda mazao dhidi ya moto, magonjwa, wezi n.k.
Wanawake na watu wenye ulemavu wanahimizwa kuomba.
Tuma maombi yako sasa!



